JogooKidevu New Member Joined Nov 19, 2018 Posts 2 Reaction score 1 May 11, 2019 #1 Habari! Naombeni kujua nini kinasababisha kichomi na Tiba yake ikoje?...mwenzangu anaumwa na kichomi chini ya ziwa na usiku anapata shida kulala,naombeni mawazo yenu.
Habari! Naombeni kujua nini kinasababisha kichomi na Tiba yake ikoje?...mwenzangu anaumwa na kichomi chini ya ziwa na usiku anapata shida kulala,naombeni mawazo yenu.