Habari wana jamii,naomba ushauri kuhusu maumivu makali ya kichwa upande wa kushoto baada ya kujifungua kawaida.Dr alisema ni kawaida kuumwa kichwa kwa mama anyonyeshaye ila naona yanaongezeka zaidi.Je kama ni kawaida yatachukuwa muda gani kupona? Nilipima HB iko sawa. Asanteni kwa ushauri.
Asante sana,nitumie maji moto au baridi?
Habari wana jamii,naomba ushauri kuhusu maumivu makali ya kichwa upande wa kushoto baada ya kujifungua kawaida.Dr alisema ni kawaida kuumwa kichwa kwa mama anyonyeshaye ila naona yanaongezeka zaidi.Je kama ni kawaida yatachukuwa muda gani kupona? Nilipima HB iko sawa. Asanteni kwa ushauri.
kuchuliwa maji ukiwa mzazi kunafaida gani?