Maumivu ya kichwa kwa mama mjamzito

Maumivu ya kichwa kwa mama mjamzito

loupa

Senior Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
124
Reaction score
78
Mke wangu anaumwa sana kichwa hali akiwa na ujauzito Wa wiki 39. Nimeenda nae kwa pharmacy kanipa dawa za kutuliza maumivu (PCM) Na dawa za kichwa. Je ni sahihi kwa mjamzito kutumia dawa hizo?
 
Mama akiwa mjamzito anachangia damu na mtoto hivyo mahitaji ya damu yanaongezeka. Moja ya dalili za upungufu wa damu ni maumivu ya kichwa, jaribuni kucheck damu kwanza.
Ahsante mkuu, lakini anaweza kutumia dawa alizopata?
 
Mama akiwa mjamzito anachangia damu na mtoto hivyo mahitaji ya damu yanaongezeka. Moja ya dalili za upungufu wa damu ni maumivu ya kichwa, jaribuni kucheck damu kwanza.

Good na hivyo ndivyo inavykuwa kwa Hiyo Mama Mjamzito anaposhauriwa kula vyakula kama Mboga za majani na zinazoshabihiana na hizo ni ili aweze kupata damu nyingi muda wowote na kama ni Mnywaji wa bia mwambie anywe Milk Stout zinaongeza Damu sana yaani at least two bottle a day..Maumivu ya Kichwa kama mdau alivyosema hapa mara nyingi ni flow ya damu inakuwa kidogo
 
Mama akiwa mjamzito anachangia damu na mtoto hivyo mahitaji ya damu yanaongezeka. Moja ya dalili za upungufu wa damu ni maumivu ya kichwa, jaribuni kucheck damu kwanza.

Samahani Mkuu hii ni Mimba ya Yangu au Ni Uzao wa Ngapi kuuexperience wewe...
 
Back
Top Bottom