Hizo dawa za kichwa ndo zipi?Ahsante mkuu, lakini anaweza kutumia dawa alizopata?
Mama akiwa mjamzito anachangia damu na mtoto hivyo mahitaji ya damu yanaongezeka. Moja ya dalili za upungufu wa damu ni maumivu ya kichwa, jaribuni kucheck damu kwanza.

Mmmh amoxlyn sio dawa ya kichwa lakini japo haina madhara pia kwa Mjamzito.....Palacetamol na amoxy