Maumivu ya kichwa na mgongo

Maumivu ya kichwa na mgongo

DANIEL MWITA

Senior Member
Joined
Sep 16, 2012
Posts
117
Reaction score
41
Msaada wadau hsptl nlienda nkapima nkaambiwa nina malaria na typhod nmetumia dawa lakini sioni mabadiliko
 
Ooh my God.......nasoma hii post ni around sa tano usiku nacheka ni hatari......pole Mkuu kwa maumivu Ila majibu unayopewa ni hatari........hasa hili la Mkuu Elli limenifanya Nicheke balaa....kha!
 
Ni tatizo la nerves fika PCMC clinic karibu na Muhimbili uonane na madactari wa Neurology
 
Back
Top Bottom