Maumivu ya kichwa tatizo ni nini?

Mchafukoga

Member
Joined
May 25, 2013
Posts
38
Reaction score
3
Habarini waungwana,

Mimi kila siku ikifikia saa kumi jioni kichwa kinaniuma sana nimemeza paracetamol hadi sasa nimechoka.

Naomba niambiwe tatizo hili linasababishwa na nini?
 
Pole. Tatizo lako linaweza sababishwa na kazi unazo fanya.
1.Je unafanya kazi ktk mazingira ya kelele!?

2. Unafanya kazi za kuumiza kichwa kama hesabu au cancelling?

3. Unafanya kazi kwa mfukulizo kwanzia asubuhi mpaka jioni bila kupumzika?

Hiyo ni mifano tu kutokana na uelewa wangu mdogo. Jichunguze then pia jifunze kutumia maji kwa wingi.
 
Kwa sasa sifanyi kazi yoyote nipo kwenye mapumziko @ Hopecomfort
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…