Maumivu ya Kidole

benja

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
320
Reaction score
215
Habari za asubuhi wadau.......
Nina maumivu makali sana ya kidole baada ya kidole gumba kidole kinachofuata. Maumivu yapo eneo baada ya kucha na joint ya kwanza basi. ni maumivu makali japo huwa yanapungua. pia huwa yanaongezeka pindi nikikiminya kidole. sina kovu wala mchirizo unaonisababishia maumivu ila ni maumivu ya ndani kwa ndani.
 
Kama huja umia Jaribu kupima gout hiyo huleta maumivu ya ajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…