KIPUMPUSWA
Senior Member
- Jul 16, 2011
- 106
- 35
Naomba msaada wa matibabu kwani ilianza maumivu ya kifua na nilishawahii kutumia antibiotics capsules za aina tofauti bila mafanikio, kuna wakati makohozi yalikuwa na chembechembe nyeusi, suviti sigara. baadae nikaanza kuhisi harufu mbaya mdomoni, hali ipo mpaka leo, makohozi bado napata na mafua kwa mbali hayachuruziki ila nikipenga yanatoka. naomba msaada wenu.