Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante ndugu kwa ushauriNinachojua maumivu ya kiuno ni ya kawaida kwa mjamzito,mda mwingine hua na maumivu chini ya mgongo pia na hayo ni ya kawaida.
Ushauri usitumie dawa yakuchua yoyote ukiwa na maumivu hayo,kwa maelezo zaidi ila muone daktari clinic.