fite fite Senior Member Joined Feb 27, 2017 Posts 113 Reaction score 94 Feb 16, 2018 #1 Habari ya leo wana jamvi naomba kujua mjamzito kuumwa kiuno ni hali ya kawaida Kama si hali ya kawaida ni nini kinasababisha na suluhisho la haya maumivu ni nini?
Habari ya leo wana jamvi naomba kujua mjamzito kuumwa kiuno ni hali ya kawaida Kama si hali ya kawaida ni nini kinasababisha na suluhisho la haya maumivu ni nini?
Nayer6 Member Joined Jan 28, 2018 Posts 78 Reaction score 94 Feb 16, 2018 #2 Mjamzito wa miezi mingapi?
Nayer6 Member Joined Jan 28, 2018 Posts 78 Reaction score 94 Feb 16, 2018 #3 Ninachojua maumivu ya kiuno ni ya kawaida kwa mjamzito,mda mwingine hua na maumivu chini ya mgongo pia na hayo ni ya kawaida. Ushauri usitumie dawa yakuchua yoyote ukiwa na maumivu hayo,kwa maelezo zaidi ila muone daktari clinic.
Ninachojua maumivu ya kiuno ni ya kawaida kwa mjamzito,mda mwingine hua na maumivu chini ya mgongo pia na hayo ni ya kawaida. Ushauri usitumie dawa yakuchua yoyote ukiwa na maumivu hayo,kwa maelezo zaidi ila muone daktari clinic.
fite fite Senior Member Joined Feb 27, 2017 Posts 113 Reaction score 94 Feb 17, 2018 Thread starter #4 Nayer6 said: Mjamzito wa miezi mingapi? Click to expand... miezi mitatu
fite fite Senior Member Joined Feb 27, 2017 Posts 113 Reaction score 94 Feb 17, 2018 Thread starter #5 Nayer6 said: Ninachojua maumivu ya kiuno ni ya kawaida kwa mjamzito,mda mwingine hua na maumivu chini ya mgongo pia na hayo ni ya kawaida. Ushauri usitumie dawa yakuchua yoyote ukiwa na maumivu hayo,kwa maelezo zaidi ila muone daktari clinic. Click to expand... asante ndugu kwa ushauri
Nayer6 said: Ninachojua maumivu ya kiuno ni ya kawaida kwa mjamzito,mda mwingine hua na maumivu chini ya mgongo pia na hayo ni ya kawaida. Ushauri usitumie dawa yakuchua yoyote ukiwa na maumivu hayo,kwa maelezo zaidi ila muone daktari clinic. Click to expand... asante ndugu kwa ushauri