Maumivu ya kiuno na mgongo pia kutokwa na mkojo wa njano

Maumivu ya kiuno na mgongo pia kutokwa na mkojo wa njano

Details hazijajitosheleza....
Una umri gani?
Jinsia?
Hayo maumivu yapo kwa muda gani?
Ni kijana wangu anasumbuliwa ana umri wa miaka 21 jinsia mwanaume
Maumivu anayo kwamuda wa wiki moja sasa
 
Back
Top Bottom