Maumivu ya kiuno, tumbo na miguu.

Benokolongokonongose

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2012
Posts
213
Reaction score
52
Bwana YESU apewe sifa, Asalaam aleykum. Wadau mimi nina shida. Nasumbuliwa sana na maumivu ya kiuno, tumbo na miguu. Nina mtoto mmoja mwaka mmoja na miezi kumi sasa. Na nina kipandikizi cha kuzuia mimba. Wiki iliyopita nilikwenda hospitali kumweleza daktari akasema kipandikizi ndo kinasababisha hayo yote. Nilimwambia nifanyiwe yutura saundi au xray akasema haina haja ila shida ni kipandikizi. Akaniandikia tu panadol. Muda huu maumivu ni makali sana. Sasa naomba kujua kama kipandikizi kinauhusiano na haya. ASANTENI. Wenu, Benokolongokonongose.
 
Bado humwamini daktari wako pamoja na kukueleza UKWELI???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…