Itabidi tubadilishe style [emoji1]
Hapana.Ukiwa unafanya unahisi maumivu...???
Sina mimbaMimba umepima?
Huwa nafanya yoga mara kwa mara.Fanya mazoezi, tafuta nyimbo za fally ipupa, felix wazekwa na ferro
[emoji3][emoji3][emoji3]Mm sifanyi style za ajabu ujue mbili tu zinatosha
Kumbe inaweza kuchangia hii[emoji15]Simple...acha kuvaa viatu virefu!! Jaribu kuvaa flat soll
Ofcoz.... Highills.. viatu virefu na viatu aina nyingi husababisha maumivu ktk nyonga na goti nk nk...Kumbe inaweza kuchangia hii[emoji15]
Ndomaaana ila endeleakufanya kitaachaHuwa nafanya yoga mara kwa mara.
Yes nafanya.
DuhUtakuwa hujapata dyudyu kwa muda mrefu!
Nitajitahidi kupunguzaOfcoz.... Highills.. viatu virefu na viatu aina nyingi husababisha maumivu ktk nyonga na goti nk nk...
Salamayako utapona tu..Nitajitahidi kupunguza