Maumivu ya kiuno.

msnajo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
3,066
Reaction score
1,141
Salaam wadau,

Wadau naomba kujuzwa, nini chanzo cha maumivu ya kiuno??
1. Je ni symptom ya ugonjwa fulani mwilini?
2. Nini tiba yake?

Please kwa yeyote mwenye kufaham hili jambo, naomba anipe ufafanuzi.

With thanks.
 
Nenda kwa daktari atakushauri kutokana na mahojiano mtakayofanya nae.
 
Are u me/ke na tatizo lako ni la mda gani?
 
kuna bint ni rafik yangu alienda kumuona dr alisumbuliwa na mgongo. dr akamwambia tatizo ajagegedwa muda mrefu atafute mtu amgegede ndio atapona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…