Habari wana JF? Hivi karibuni nimekuwa nikipata maumivu kwenye korodani kupanda hadi maeneo ya kibofu chini kila nikifanya mazoezi ya kukimbia na hapo awali haijawahi kunitokea hali kama hii, je hii ni hali ya kawaida kwa mtu alieacha mazoezi halafu akaanza tena au ni tatizo?
Swali la kichokozi[emoji28] eti ni kweli matembele yanaweza kusababisha mtu akapata mabusha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeumwa sana pumbu wakati nafanya mazoezi ya kuacha kupiga punyeto...wakati pumbu inauma nikipiga punyeto ina relax maumivu yanapotea. Ila baada ya kuoa, ugonjwa sijui umepotelea wapiNiliumwaga korodani kila siku,kumbe usipokamua papuchi kwa muda mrefu pumbu huwa zinaumaga
Sent using Jamii Forums mobile app