HorsePower
JF-Expert Member
- Aug 22, 2008
- 3,612
- 2,567
Wengi wanakua wanaingia kwenye mahusiano kwa maslahi yao,wakikuona mambo safi mtu anaingia na maneno matamu,
baby na darling kwa wingi,na wala haoni tabu kumchukua bwana na hata mdogo wake..
Wifi dongo hilo....Wengi wanakua wanaingia kwenye mahusiano kwa maslahi yao,wakikuona mambo safi mtu anaingia na maneno matamu,
baby na darling kwa wingi,na wala haoni tabu kumchukua bwana na hata mdogo wake..
Wengi wanakua wanaingia kwenye mahusiano kwa maslahi yao,wakikuona mambo safi mtu anaingia na maneno matamu,
baby na darling kwa wingi,na wala haoni tabu kumchukua bwana na hata mdogo wake..
1. Tumekuwa wasanii mno (tunaigiza tunachokiwaza) hatutaki kuwa realistic na kuukubali ukweli
2. Kipato pia ni tatizo......wapenzi wanataka kupendeza (pesa), kula vizuri (pesa), simu na voucher (pesa), kutoka out (pesa).......Kwa hiyo utaona hivyo vionjo vyote vipya vilivyoingizwa kwenye mapenzi vinaenda kwa nguvu ya chapaa na kama mmojawapo hana basiii.
3. Tuna-expect mengi sana kutoka kwa wenzi wetu kana kwamba wao ni viumbe wa ajabu sana au malaika kwa mfano: sexy (unataka perfect), uzuri (perfect) , maongezi na (perfect) n.k
4. Kutokuwa waaminifu kwenye mahusiano....ambayo pia inaweza kuchangiwa na sababu hizo hapo juu
Mambo safi ni nini?
Na maslahi mazuri yanaaznia sh. ngapi?
Basi, tena penzi linapokuwa la maslahi haliumi hata tone moja
Wenye mafao mazuri ya kimaslahi ni wengi tena wanono tu
Ni marketing strategy tu inahitajika, hapa huwa anashuka mtu anapanda mtu.
But, when it's 'real' hapo ndio huwa kuna maumivu.
Hata kama ilikuwa real, ulifanya maamuzi sahihi au ndio uliamua kuufumbia macho 'ukweli' sababu hukuwa tayari kuukubali? Mfano falling for a 'player' ni wazi hawezi badilika saa akija cheat unaanza kupasuka kichwa, why?
Ukijiona uko kwenye mahusiano ambayo huwezi beba mapungufu ya mwenzio, jichunguze kwanza je 'was it real?'
Ukicheat au sijui kuwa na kidumu sababu ya pesa, sex, n.k jiulize, was it real?
Love conquers all -source: MwanajamiiOne
Hapo penye bold nakubaliana na wewe Kongosho lakini kuna changamoto moja kuwa kama mmoja yupo kimaslahi na mwingine ndo keshafika, aliyoko kimaslahi ndiye ambaye hawezi kuumia, lakini yule aliyejiona ameshafika ndiye anayekumbwa na mkasa wa majeruhi wa mapenzi .....
Swali: Tunakuwa hatufahamu ukweli tunapoingia ktk mahusiano? Kuna namna ya kuepukana na hii hali? Nini cha kuzingatia tunapoanzisha mahusiano yanayoweza kutupeleka kwenye ndoa?
Mie naaamini kabla ya kuingia kwenye mahusiano unajua kabisa
Huyu mtu ni wa aina gani
Kuna viashiria vidogo vidogo viiingi
Lakini mara nyingine tunakataa kuukubali ukweli maana kwa wakati huo unakuwa mchungu kwetu
Inabidi kujidanganya mtu unayeingia naye kwenye mahusiano na yeye 'kapeeenda' huku wazi kabisa 'conscious' au 'six sense' yako inakuambia anataka 'pesa' yako tu anataka kuingia kwenye 'sketi' yako tu
Mbona hili liko wazi from day 1?
Mtu anayekupanda 'genuinely' unamfahamu kabisa.

Kama watu huingia kwenye mahusiano na mtu wangali wakitambua kuwa huyo mpenziwe ni 'player', tunaweza kusema kwa kiasi vijana wa karne hii ni wazembe au watu wasio na huruma na afya zao au maisha yao? Inazekenaje kunywa asali yenye utamu sana ambayo imewekewa sumu hali ukijua itakudhuru baadaye?
Kwa nini tumefikia huku tofauti na wenzetu wa miaka ile ya sitini na sabini ambapo maumivu ya mapenzi yalikuwa ni ya nadra sana? Hatuwezi kufuatilia tujue wenzetu walifanyaje/waliishije? Au kwa kufanya hivyo na kuyarudia ya zamani tutaonekana tumepitwa na wakati, na hivyo kujipotezea wapenzi? loh!?
Naona hawajionei huruma,cha muhimu kwao ni starehe kwanza! HorsePower tumefika huku sababu ya tamaa, binaadamu hawaridhiki jamani sijui kwanini, inasikitisha sanaaa......huruma inanijia zaidi kwa watoto wetu daaah sijui hali itakuaje huko mbeleni.
Yaani kama kweli mtu ungeweza kujua toka siku ya kwanza sidhani kama ungeweza kuendelea na kuwa na muuaji hata kama ni pesa ndio imekupeleka hapo. Ina maana ukishajua huyu anaweza kuniua,utadiriki kweli kuendelea nae mpaka ndoa??!!!sidhani bana.Tukubaliane kwamba kuna watu ni wataalamu waku pretend........