Maumivu ya mahusiano!


hebu niambie nini cha kuzingatia manake kuna mtu nadhani kama ananichomesha mahindi tu
 
hebu niambie nini cha kuzingatia manake kuna mtu nadhani kama ananichomesha mahindi tu

Hapo ndipo nilipokuwa nataka tupajadili nini cha kufanya ingawaje suala la mahusiano ni complex sana ...
Kwa sehemu ningeweza kufikiria yafuatayo ingawa ningependa kupata mawazo ya watu wengine zaidi ...

1. Kuchunguzana kabla na kisha kuifundisha nafsi na mioyo iwe na uwezo wa kusema 'no' kwa yule mwenye tabia mbaya
2. Kupunguza papara za kujiingiza kwenye mahusiano bila maandalizi
3. Vijana wajifunze kupenda na siyo kutamani
4. Kuondoa dhana ya mtu atabadilisha tabia wakati umeshaziona dalili za mvua
.... nk

Hapa unaweza kuendeleza na za kwako!
 



I am loving your insight on the subject, huo ndo ukweli, you're simply calling a spade, a spade. Looking at love from this perspective may label you as a pessimist, but I'd rather be labeled one than keep claimimg that "love is blind" yet I am the one that chose to be blind afterall.
 

Lakini Kongosho disappointments ni vitu vya kawaida kwa binadamu yoyote asiye perfect!!!na zinavumilika......fikiria kuna mambo ambayo kwakweli kuyavumilia/kuyabeba ni magumu labda pia uwe tayari kutoa uhai wako.

Haya kisa cha kuniita cacico ni nini???au sababu mke mwenzangu ukatufananisha....lol
 
Last edited by a moderator:
Duh, pole bana, naona leo cacico yupo kichwani mwangu sana.

Hata mtu akupende genuinely, off course kama binadamu anakuwa na mapungufu
Nachoongelea hapa ni pale unajua kabisa huyu mtu si wa muda mrefu au si match ya aina ya mwenza wangu lakini unakuwa naye tu kwenye mahusiano sababu ushampenda so unaamua kufumbia macho yale usiyoyapenda

 
Last edited by a moderator:
Kongosho, hapa ni kama umenisemea. Tatizo haka kasimu siwezi kuweka big LIKE. Tatizo watu, hasa wadada, tunaona maisha magumu kwa kuingia kwenye mahusiano na mtu mwenye matabia ambayo huyapendi ukadai kwamba "utambadilisha". Kama mtu unampenda na unaona uta-enjoy kampani yake basi ingi kwake ukijua utavumilia pia mapungufu yake, siyo kwamba utambadilisha


Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 

Hapo penye kufumbia macho ndio msalaba utaojikuta unaubeba.......kwa mtu kama huyu naweza sema amejitakia. Je, kwa yule ambae hakuona kasoro za kufumbia macho tatizo linakua wapi???!!!! Kama mimi wa kwangu nilimuona wa maana hamna mfano hata kama angetokea malaika wa kuniambia hapa umeangukia pua sidhani kama ningemuelewa kwa kipindi hicho!!!lakini kumbe alikua ni JINI na si binaadamu asilani!
 
FP acha utani bana sie wenye katochi tusemeje? lol
 
Duh, pole bana, naona leo cacico yupo kichwani mwangu sana.

Hata mtu akupende genuinely, off course kama binadamu anakuwa na mapungufu
Nachoongelea hapa ni pale unajua kabisa huyu mtu si wa muda mrefu au si match ya aina ya mwenza wangu lakini unakuwa naye tu kwenye mahusiano sababu ushampenda so unaamua kufumbia macho yale usiyoyapenda

 
Last edited by a moderator:
Wengi wanakua wanaingia kwenye mahusiano kwa maslahi yao,wakikuona mambo safi mtu anaingia na maneno matamu,
baby na darling kwa wingi,na wala haoni tabu kumchukua bwana na hata mdogo wake..
hivi kuna mapenzi iwapo kuna msukumo wa nje?
maslahi gani ambayo watu wanaangalia? na je inamaana matajiri hawaumizwi kimapenzi?
 
Kongosho signature yako yaweza kusemea kila kitu hapa.

nikuulize swali moyo na akili kipi kinachotakiwa kumsemezesha mwenzie? na niwakati gani unapo takiwa kuuskiliza moyo na niwakati gani unapotakiwa kuusikiliza akili? nafsi yenyewe itakuwa ni muhanga wa yatokanayo kwenye akili na moyo.
 
Last edited by a moderator:

kwani kaka yangu furaha ya dunia hii imekuwa established wapi? na je kuna utimilifu wowote katikati ya binadamu?
 
tatizo unatakiwa kulijua wewe na huyo mpendwa wako coz mapenz hayana formula kwamba fulan alifanya hivi bac uige,so lazima ujipime wewe kama ni mkal wa kuhandle situations,enjoy...........

na u wapi utofauti wa mtu na mtu katika kupenda? kama hakuna fomula kwanini mwishowe tunaisha kusema upendo wa dhati?
 
Kongosho wasemea maslahi gani hapa?
 
Last edited by a moderator:


HP unarefer kwenye mahusiano gani? manake to me everything must be defined before getting in. kwani si lazma mdefine terms and conditions b4? ama lunch na dinner tunatoana with no focus? unless kama mnatoka for funny lakin in real relationship it is not supposed to be like that.
 
gfsonwin, ishu ni kubalance kati ya moyo na akili kipi kifanye maamuzi kulingana na mazingira husika.

maslahi, kwa case hii ni faida yoyote kutoka kwa mtu unayekuwa naye katika mahusiano ya kimapenzi ispokuwa 'hisia za kweli za kimapenzi na mtu huyo'
 
Last edited by a moderator:
kwani kaka yangu furaha ya dunia hii imekuwa established wapi? na je kuna utimilifu wowote katikati ya binadamu?

Sis kwa maswali magumu: Furaha iipo kwenye upendo usiohesabu "gharama" .......na hakuna utimilifu kwa binadamu lakini tunatakiwa tuenende kama watu wanaotafuta utimilifu huo na si bila dira yeyote
 
mara nyingi tatizo ni kutokuwa makini, kufuata hisia kuliko uhalisia.

you said it quite correct watu hawakubali tu ukweli kwamba huyu gfsonwin nimpenzi wangu mapungufu yake ni haya na haya na nitajifunza kuyavumilia ama kama siwez let me quit kwani hakuna aliyeandikiwa msalaba usoni kwake.

ila pia kukurupuka ni kubaya sana siwez kupinga sana swala la watu kudate but when it comes to serious relationship lazima tujifunze kuwa makini usisai mkataba mpaka umeridhika na kuaona maji haya nikiyavulia kuyakoga naweza.
 

Hapa tunamaanisha mahusiano ya kimapenzi, maana haya ndiyo mahusiano ya mwanaume na mwanamke ambayo huleta majonzi chungu tele kila kukicha.
Hapo kwenye hao wenyewe wanoingia kwenye mahusiano huwa tayari wame-define terms zao mapema lakini in the long run, inakuja kubainika kuwa mmoja wapo hakuwa na mapenzi ya dhati, na hivyo kumtenda mwenziwe, mara nyingi huwa alivutiwa na mambo fulani fulani tu yalimlazimisha kuingia kweney hayo mahusiano. Hapo ndipo tunapotaka kujadili, nini tufanye kupunguza hii hali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…