teh how?Yanashika wallet yangu
:croc:
Kila siku watu wanalia na maumivu ya mapenzi.
Lakini najaribu kuyalinganisha na maumivu mengine, maumivu mengine yote unaweza gusa kiungo na kusema hapa panauma.
nashindwa elewa, maumivu ya mapenzi yanakuwa wapi? Yanashika kiungo gani? Ni moyo? Ni ubongo? Ni tumbo?
Hebu nisaidieni . . . .
teh how?

kwanza unajichukia mwenyewe,
unamchukia kila mtu...
yaani hujielewi ..unaona dunia ni mbaya kila kitu ni kibaya.....acha tu sikia kwa jirani