Maumivu ya Mapenzi yako wapi? ? ?

Kongosho! usiombe kukutana na maumivu ya mapenzi, unaweza ukadhani dunia yote imekutenga umebaki peke yako, unaiona dunia chungu, moyo unauma utadhani umechomwa mkuki, sometimes utakufuru kwanini ulizaliwa, we Kongosho acha kabisa, sikia tu kwa mwingine yasikukute ndg yang
 
 
Last edited by a moderator:
Unahisi maumivu moyoni, hata ukila chakula hakipiti, usingizi hauji,unaona kila mtu mbaya na unahisi dunia yote inataka kukuangukia lol! Wacha kabisa hiyo kitu..

Hasa ukigundua mtu wako anacheat na kuna ushahidi usio na shaka, we acha tu!! Usikie kwa wengine!
 
Wewe una miili ifuatayo,mwili unaoweza kuugusa,mwili wa roho na mwili wa hisia.Mwili wa hisia na roho huwezi kuigusa,unapoumia hisia huwezi kuzigusa hisia,hazigusiki.Ila ukiumia mwili unaweza kugusa!
 

Si moyo, si ubongo, bali ni roho. Itafute ilipo baade vizia wako wa ndani umfumanie uiangalie inavyojeruhiwa!
 
Huo mkuki wa moyo na mie ndo nilitaka kuusikia.

sasa gfsonwin anasema huwezi yatibu kwa panado wala fenegani maana ni enzaims (nina F biology)

Ngoja niendelee kusoma zaidi labda ntapata.
 
Last edited by a moderator:
Kama mwili hauuumii kwa nini ni makali hivyo?

Hivi nyie wanasayansi mmeshindwa gundua panado zake?

 
Viungo vyote vinauma na moyo na akili vyote huathirika.

Hata mie nahisi ni moyo ndio huwa unauma, ndio maana hii alama ya moyo unavunjia :A S 12:

kila kitu kinauma sana,na mwili unakuwa na joto sana kama homa hivi, hakuliki wala hakulaliki.
Ha ha ha ha, yako kali hadi homa?

kwanza unajichukia mwenyewe,
unamchukia kila mtu...
yaani hujielewi ..unaona dunia ni mbaya kila kitu ni kibaya.....acha tu sikia kwa jirani
Ole wake mtu akusalimie kihasara hasara, jibu lake atashangaa?

Yanashika wallet yangu
:croc:
Wee maumivu yako ya mapenzi yana akili sana, yamesomea uchumi na mipango

Mi huwa yana gusa kongosho yangu mpaka na hisi ibadilishwe ni wekewe ya chui!

Siku hiyo utagundua kuwa kumbe ni kabyuleta ndio huuma. mie nataka tusaidiane ili tuweze yakabili vema.
 
Reactions: BAK
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Kama mwili hauuumii kwa nini ni makali hivyo?

Hivi nyie wanasayansi mmeshindwa gundua panado zake?
Kongosho hivi wajua kitu kinachoitwa hormanal disrupting factors/agents? sasa maumivu ya penzi yaweza kukusababishia aisee. unaweza kupata disyfunctional hormonal secretions ambazo kitabibu zitatibika lakin causative agent akawa ni huyo penzi. lakin pia aweza kukuharibiu kabisa huyu penzi to the extent kwamba hautibiki
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin, usitumie maneno ya baioloji, mie nilijifunza amoeba na paramecium tu.
 
Last edited by a moderator:
Moyo + ubongo = heart attack + brain concussion
 
Kongosho hata kama mkono ukigusa unauma unaweza elezea exactly vile waumia?
Maumivu ya mapenzi mi naona yapo moyoni na extent ya maumivu haielezeki.
 
yakikukuta ndo utajua maumivu yake yako wapi.....itz unexplanable pain.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…