Naona kama maelezo yako ni mafupi sana kupata diagnosis, na ukikanyaga duka la dawa baridi tu utajikuta wanakuandikia dawa ya maumivu! kwisha!
Nenda hospitalini, uonane na wataalamu wa mifupa! kuna maelezo watachukua, kisha vipimo! wanaweza kufanya na xray! halafu utapata tiba sahihi!