Maumivu ya miguu chini ya goti

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Kwa muda wa wiki 2 nimepatwa na hali ambayo inashangaza,!
Kila nikikaa sana au kulaala niliamka nasikia maumivu ya miguu kuanzia kwenye magoti hadi kwenye unyayo!
Aidha nikitembea nasika maumivu kwenye nyao kila nikikanya ga chini bila viatu !
Nahis kuna kitu hakiendi sawa,
Najua kuna mtakao nijibu niende kwa daktari ni sawa !
Ila nawaamini sana wataalamu nwa JF wanaweza wakanipa mwanga.
Nashukuru....karibuni mnielismishe!
 
Ebu jaribu kucheki kiasi cha uric acid mwilini mwako, inawezekana kabisa una ugonjwa wa gauti!
 
Pole sana. Bado nami nashauri jaribu kupima kwanza. Lakini kama unadhani ulisha fanya hivyo nitafute mimi ni distributor wa foreverling products.Foreverliving tuna bidhaa nyingi sana zimewasaidi watu wengi wenye tatizo kama lako na mengine mengi. Mimi mwenyewe zimenisaidia pia baada ya kuhangaika kidogo hospitali na tatizo kujirudia. Kama utanihitani email yangu: apronius2000@yahoo.co.uk. mobile no +255 756 514 644/715 514 644.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…