Maumivu ya miguu,mikono na vidole gumba havikunjiki.Nitibuje?

Maumivu ya miguu,mikono na vidole gumba havikunjiki.Nitibuje?

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Posts
3,023
Reaction score
1,315
JF Doctor.Nina ndugu yangu ana tatizo hilo.Hospitali wanasema hawajaona tatizo ila anateseka sana.Nimsaidieje?Please
 
Niliwahi kupata tatizo la namna hyo nikiwa shule..maumivu sana kwenye joints..bahati nzuri nilionana na wachina wakanipa vidonge vya kumeza nikameza miezi 2 then nikamaliza na sindano 15. Tangu hapo niko vzr..
 
Anza na hii: osteomin kidonge kimoja kwa siku kwa mwezi mmoja na vitamin B denk, kidonge kimoja kwa muda wa mwezi mmoja. Kutuliza maumivu mpe Tramadol kidonge kimoja mara tatu kwa siku kwa muda wa siku 5.
 
Back
Top Bottom