Niliwahi kupata tatizo la namna hyo nikiwa shule..maumivu sana kwenye joints..bahati nzuri nilionana na wachina wakanipa vidonge vya kumeza nikameza miezi 2 then nikamaliza na sindano 15. Tangu hapo niko vzr..
Anza na hii: osteomin kidonge kimoja kwa siku kwa mwezi mmoja na vitamin B denk, kidonge kimoja kwa muda wa mwezi mmoja. Kutuliza maumivu mpe Tramadol kidonge kimoja mara tatu kwa siku kwa muda wa siku 5.