Maumivu ya miguu na kiuno

nsalu

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
1,189
Reaction score
1,240
Mama yangu anaumwa sana miguu na kiuno anapata maumivu makali sana. Alipimwa KCMC akaambiwa mifupa kwenye uti wa mgongo imelika ndiyo maana anapatwa na maumivu ya viungo na hakuna dawa ya kutibu ila tu atumie dawa za kutuliza maumivu. Nimeleta hata kwa kuwa kuna wataalamu wengi wa dawa haya za asili. Kama kuna anayefahamu dawa au ushauri wa nini kifanyike anisaidie bi mkubwa apone. Asanteni.
 
Nikumuoba mungu
Die atakaye mpoya
Hukuna mwingine
Ameen
 

Pia mama yangu anaumwa iviyo iviyo
Mkuu nsalu na Mkuu martinndanshau Dawa ya kutibu hayo maradhi ninayo ukiweza nitafute kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hili tatizo limekua kubwa sana hata mimi Baba yangu ana maumivu hayo hayo nilimpeleka Besta kinondoni kuchukia kipimo tukaenda MOI walitoa dawa nyingi za maumivu mzee anahudhuria mazoezi pale pale MOI lakini issue bado ngoja tujaribu kwa Mzizi Mkavu nae tuone
 
Na hili tatizo ni kubwa sana sio wewe peke yako ukifika MOI ndo utajua kumbe tatizo ni kubwa sana kwani watu wengi kutoka sehem mbali mbali za Tanzania wakubwa kwa watoto linawasumbua mno akiwamo Baba yangu
 
Ngoja tuwasiliane na mzizimkavu anaweza kutusaidia hili.
 
Jamani someni kuhusu tiba ya mkojo jaribuni kuelewa fuata masharti naamini ni njia sahihi mi nilipata matatizo ya mgogo yakapelekea ku palalazi tangu mwaka 2002, nilipona ila nikabaki na maumivu nikawa natembelea gongo, sasa nina mwezi mmoja nimeanza hii therapy, naendelea vizuri hadi wakati mwingine nasahau gongo. halafu tangu miaka hiyo nimetumia tiba mbadala zaidi ya kumi sijawahi kupata nafuu kama niliyo nayo sasa. kwa msaada nenda Lightbalance. ila waweza kutafuta kwenye google URINE THERAPY kwa information zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…