Hi JF Doctor
Ni takribani miezi miwili sasa nasumbuliwa na maumivu ya miguu na mikono. Naweza kuhisi maumivu katika mguu wa kulia mara yanahamia wa kushoto na mikononi vivyo hivyo.
Nilienda hospitali, ugonjwa haukuonekana lakini dokta akanishauri nitumie vidonge aina ya NEUTONE.
Sijapata nafuu bado, nifanyeje ndugu zangu wataalamu?