mzama chumvini
JF-Expert Member
- Mar 14, 2016
- 730
- 642
Maumiv yako hakika yatapunguza!
Sasaukihisi uchungu mno inaonyesha mabadiliko yanatokeo kwenye misuli yako, punguza mazoezi yako na kupumzika rohoni acha wasiwasi hayo ni hali ya kawaida tu
Kuna dawa niliwahi kuzimeza baada ya kushauriwa na daktari (zinaitwa PIROXICAM, meza kidonge kimoja kwa kila jioni unapotoka mazoezini) wakati nikisumbuliwa na maumivu ya misuli kama hayo ya kwako mara baada ya kuanza tena mazoezi ya kucheza mpira wa miguu kwa kasi ilhali nilikaa miaka minne bila kucheza.Maumiv yako hakika yatapunguza!
Sasaukihisi uchungu mno inaonyesha mabadiliko yanatokeo kwenye misuli yako, punguza mazoezi yako na kupumzika rohoni acha wasiwasi hayo ni hali ya kawaida tu
Vipi Maumivu yameisha au uliacha mazoezi yenyewe?Sabakheri Wadau;
Kuanzi Wiki Jana Nimeanza Zoez La Kukimbia Asubuh Na Jion 10 Km Kupanda Mlima Wa Mzumbe Ndani!!! Sasa Kama Kawaida Kunakuwaga na Yale Maumivu Ya Misul! Yaan Inauma Mbaya!! Leo Nilitaka Kuacha Yf Akaniambia Usiache zoez Ndo Linaingia!! Sasa naomba Kujua Haya Maumiv Mpaka Lin?? Na Mim Ctak Kuacha zoez