Maumivu ya misuli ya tumbo baada ya kushiriki tendo la ndoa

Maumivu ya misuli ya tumbo baada ya kushiriki tendo la ndoa

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,623
Reaction score
8,442
Kama kichwa cha habari kinavojieleza napata maumivu ya viungo vya mwili vinauma sana na kusababisha misuli yote ya tumbo inauma mbaya.

Je kuna dawa ya kuchua au nifanyaje haya maumivu yaishe?
 
Back
Top Bottom