Maumivu ya Mtanganyika si maumivu ya Mzanzibari - tusidanganye!

Maumivu ya Mtanganyika si maumivu ya Mzanzibari - tusidanganye!

Mnada wa Mhunze

Senior Member
Joined
Mar 1, 2023
Posts
168
Reaction score
819
Ndugu zangu wahenga walishasema mapema ya kwamba MCHUMA JANGA HULIA NA NDUGUZE.

Ki kawaida matatizo humuumiza zaidi yamhusuyo kuliko jirani na mfano hai ni suala la kufiwa aumiaye na msiba ni mfiwa na nduguze siyo majirani wasio na chembe ya ndugu

Kwa muktadha huo hata haya ya mamikataba mibovu yahusuyo bara MSITARAJIE YATAWAUMIZA WAZANZIBAR ILHALI MRADI HUSIKA (BANDARI) SIYO SUALA LA MUUNGANO.

Kazi kwenu wenye yenu shughuli hakika mstarajie kilio chenu na jirani yenu kitafanana!
 
Back
Top Bottom