Maumivu ya nyama chini ya kitovu

walitola

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2014
Posts
4,796
Reaction score
5,553
Habari zenu wakuu,

Natumaini mpo wazima wa afya. Jamani embu nisaidieni wataalamu nina mpenzi wangu anasumbuliwa na maumivu chini ya kitovu anasema nyamanyama ambazo zipo chini ya kitovu zinamuuma kwa ndani hii imetokea mara ya pili sasa nashindwa kuelewa ni kizazi chake kitakuwa kina matatizo au nini zaidi kitakuwa kinamsumbua.

Nawasilisha kwenu wadau mnishauri juu ya ilo tatizo

Karibuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…