Mulangila Mukuru
JF-Expert Member
- Feb 24, 2010
- 1,945
- 728
........Hi JF Doctor!
Jamani wife anasumbuliwa na nyonga ya upande wa kushoto kwa kusikia maumivu makali kwa ndani mpaka kuna wakati anashindwa kutembea .Hali hii ilianza baada ya kupata mtoto wa kwanza.Niliwahi kumpeleka hospitali akapigwa x ray wakasema hana tatizo lakini tatizo linajirudia hasa anapolala akitaka kuamka asbh mpaka afanye zoezi kidogo au atumie dawa ya maumivu ndo akuwa normal.
Naomba ushauri wenu ndugu hali hii yaweza kutibiwaje.
NAWASHUKURU
Habari, Naitwa Baraka, nimeona hii post yako nikatamani kujua kama ulipona na ulitumia dawa gani? mimi pia ninalo tatizo hilo kwa muda mrefu sasa.Hi JF Doctor!
Jamani wife anasumbuliwa na nyonga ya upande wa kushoto kwa kusikia maumivu makali kwa ndani mpaka kuna wakati anashindwa kutembea ...