mikumiyetu JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 1,312 Reaction score 944 Nov 19, 2017 #1 Habari za jumapili wakuu nimeamka naona upande mmoja wa shingo yangu inauma nashindwa kugeuza shingo nageuka upande upande shida inaweza kuwa nini
Habari za jumapili wakuu nimeamka naona upande mmoja wa shingo yangu inauma nashindwa kugeuza shingo nageuka upande upande shida inaweza kuwa nini
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Nov 19, 2017 #2 Ulilala vibaya tu baada ya muda utakuwa ok