Maumivu ya sikio hadi kutoa usaha na maji maji

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,577
Reaction score
4,637
Sikio linauma yaani sasa hivi latoa maji maji sijui usaha kuna wakati nilikuwa nahisi latokota ndani sasa nimetumia amoxyln na panadol bado lauma sasa sijui nifanye au nifanyeje kesho nitibu sikio langu..?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachonishinda ni zile gharama za hospital...lakini Inshaa Allah...Allah akinijaalia kesho naweza pata hela hata ya kununua dawa...ndio maana nikaja huku kwa wataalam nipate ushauri...

ila sijui kuna daktar moja alinambia nipate sindano ya antibiotics kali...sasa sindano ndo processes zenyewe za kwenda hospital zinanishinda gharama zake...sijui kumuona daktar kupewa dawa kununua sindano mpaka kuchomwa...

Ndio maana naomba ushauri wa kitaalam nipate uwezekano wa kupata dawa itakayosaidia tatizo langu...

Ukitaka kunisaidia vinginevyo ni wewe tu na Mola wako...sina nia ya kupiga mtu...

Mkuu afya inahitaji gharama jitahidi uende hata zahanati ndogo ndogo ukaonane na daktari yani fanya ufanyavyo ukope au kama una akiba kidogo pesa zinatafutwa lakini mpaka uwe na afya sasa kama afya yako mbovu hata hizo pesa utazitafuta vipi?
Nb unavyozidi kutumia dawa bila ushauri wa daktari ndivyo unavyoongeza hatari ya usugu wa dawa na kuongeza gharama za matibabu hapo baadae
Unaweza tumia amoxiclav kama kweli huwezi kwenda hospitali

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kinachonishinda ni zile gharama za hospital...lakini Inshaa Allah...Allah akinijaalia kesho naweza pata hela hata ya kununua dawa...ndio maana nikaja huku kwa wataalam nipate ushauri...

ila sijui kuna daktar moja alinambia nipate sindano ya antibiotics kali...sasa sindano ndo processes zenyewe za kwenda hospital zinanishinda gharama zake...sijui kumuona daktar kupewa dawa kununua sindano mpaka kuchomwa...

Ndio maana naomba ushauri wa kitaalam nipate uwezekano wa kupata dawa itakayosaidia tatizo langu...

Ukitaka kunisaidia vinginevyo ni wewe tu na Mola wako...sina nia ya kupiga mtu...

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana, jjtahidi uende hata hospital hizi ndogo gharama si kubwa sana,
Utapewa matibabu, usipotibika tumia cannabis sativa, majani haya ya kondeni ni dawa nzuri Sana ya sikio,
Ukifanikiwa kuipata mbichi itakuwa vema zaidi,unakamua maji yake unamimina kwenye sikio kwa ndani kama ufanyavyo kwa eardrops vile. Ukikosa mbichi tumia hata kavu ila unailowanisha kupata kimiminika chake.
Kila la kheri !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom