AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Kinachonishinda ni zile gharama za hospital...lakini Inshaa Allah...Allah akinijaalia kesho naweza pata hela hata ya kununua dawa...ndio maana nikaja huku kwa wataalam nipate ushauri...
ila sijui kuna daktar moja alinambia nipate sindano ya antibiotics kali...sasa sindano ndo processes zenyewe za kwenda hospital zinanishinda gharama zake...sijui kumuona daktar kupewa dawa kununua sindano mpaka kuchomwa...
Ndio maana naomba ushauri wa kitaalam nipate uwezekano wa kupata dawa itakayosaidia tatizo langu...
Ukitaka kunisaidia vinginevyo ni wewe tu na Mola wako...sina nia ya kupiga mtu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana, jjtahidi uende hata hospital hizi ndogo gharama si kubwa sana,Kinachonishinda ni zile gharama za hospital...lakini Inshaa Allah...Allah akinijaalia kesho naweza pata hela hata ya kununua dawa...ndio maana nikaja huku kwa wataalam nipate ushauri...