Maumivu ya sikio

Maumivu ya sikio

Osmokalu

Senior Member
Joined
Nov 13, 2015
Posts
186
Reaction score
148
Dawa ya sikio jamani lina kama vitu tembea ndani msaada wenu
 
Kata kipande cha kitunguu maji ulale nacho kwenye sikio. Hunyonya uchafu ulio ndani ya sikio. Kamwe usitumie kijiti chochote hata "cotton swab" ndai ya sikio maana huondoa ute ambao ni muhimu kulinda sikio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama uko dar nenda muhimbili kitengo Cha ENT
Au njoo magomen hospital moja inaitwa ikenywa.wakufanyie wax remover
Pia epuka maji kuingia katika sikio.kama Ni fungal infection utapewa dawa fulani nzuri sana.unapooga Tia pamba Kisha paka mafuta ya mgando kuzunguka eneo la ndani la sikio
 
Mkuu upo hapo Ikenywa?mm pia nasumbuliwa na sikio wiki ya 3 sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom