Mkuu upo hapo Ikenywa?mm pia nasumbuliwa na sikio wiki ya 3 sasaKama uko dar nenda muhimbili kitengo Cha ENT
Au njoo magomen hospital moja inaitwa ikenywa.wakufanyie wax remover
Pia epuka maji kuingia katika sikio.kama Ni fungal infection utapewa dawa fulani nzuri sana.unapooga Tia pamba Kisha paka mafuta ya mgando kuzunguka eneo la ndani la sikio