Maumivu ya tumbo baada ya kunywa asali

candyj

New Member
Joined
Aug 14, 2014
Posts
3
Reaction score
0
Je kuumwa na tumbo mara baada ya kunywa Asali inasababishwa na nin?
 
Ivi kumbe asali wanakunywaga. .....nljua inarambwa ati
 
Je kuumwa na tumbo mara baada ya kunywa Asali inasababishwa na nin?

inawezekana una dalili ya vidonda vya tumbo...kama unavyo usilambe asali ukiwa hujala kitu au una njaa
 
Ivi kumbe asali wanakunywaga. .....nljua inarambwa ati

Asali huchanganywa na maji vuguvugu katika kikombe na kunywewa kwa namna ya matibabu. hivyo akisema kunywa asali usishangae mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…