donMramba
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 250
- 42
ndogu zangu wataalamu wa afya mliopo hapa naombeni msaada wenu,mimi tumbo linaniuma takribani miaka mitatu au minne sasa..DALILI ni huwa lnauma wakati nikiwa nimebanwa na mkojo kidogo,nikichelewa kula,mkojo pia hutoka wenye rangi ya "chai ya rangi"pia mda mwingine hutoka wenye rangi nyeupe kama chokaa:help: