Maumivu ya tumbo chini ya kitovu

Maumivu ya tumbo chini ya kitovu

elicious

Member
Joined
Sep 7, 2014
Posts
45
Reaction score
6
Jaman wapendwa mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26, mara nyingi huwa napata maumivu ya tumbo chini ya kitovu, hili linaweza kuwa tatizo gan?
 
Mara nyingi, huwa tumbo linaniuma then linatulia
 
Maybe una ugonjwa unaitwa tambazi ni kama ngiri (hernia) kwa mwanaume ..
Kwa uhakika zaidi nenda hospitali.
 
Back
Top Bottom