Maumivu ya tumbo chini ya kitovu

elicious

Member
Joined
Sep 7, 2014
Posts
45
Reaction score
6
Jaman wapendwa mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26, mara nyingi huwa napata maumivu ya tumbo chini ya kitovu, hili linaweza kuwa tatizo gan?
 
Mara nyingi, huwa tumbo linaniuma then linatulia
 
pole kapime na uti inawezekana maambukizo kwa njia ya mkojo
 
Maybe una ugonjwa unaitwa tambazi ni kama ngiri (hernia) kwa mwanaume ..
Kwa uhakika zaidi nenda hospitali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…