maumivu ya tumbo kwa chini ya kitovu

maumivu ya tumbo kwa chini ya kitovu

ricky eliud

Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
15
Reaction score
1
nilikuwa nauliza hivi mwanamke au binti akiwa anaumwa tumbo la chini ya kitovu hivi anaweza akawa na tatizo gani au ni tatizo gan huweza kupelekea hyo hali p'se naomba ushauri
 
Back
Top Bottom