Maumivu ya tumbo kwa mama mjamzito, Naomba msaada wa tiba

Maumivu ya tumbo kwa mama mjamzito, Naomba msaada wa tiba

Amosk

Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
50
Reaction score
8
Habari za wakati huu wana JF natumai wote muwazima. Kubwana naomba msaada wa ushauri juu ya mama mjamzito, leo ni siku ya tatu sasa analala mika tumbo linamuuma sana tena linauma lote, ujauzito wake unataklibani miezi 7 sasa nashindwa kujua nimpatie dawa gani!? Ndugu zangu naombeni mnishauri kwa hili kwani hali aliyonayo mke wng inanitisha sana naombeni msaada wenu.
 
Back
Top Bottom