Habari za wakati huu wana JF natumai wote muwazima. Kubwana naomba msaada wa ushauri juu ya mama mjamzito, leo ni siku ya tatu sasa analala mika tumbo linamuuma sana tena linauma lote, ujauzito wake unataklibani miezi 7 sasa nashindwa kujua nimpatie dawa gani!? Ndugu zangu naombeni mnishauri kwa hili kwani hali aliyonayo mke wng inanitisha sana naombeni msaada wenu.