MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,727
- 6,615
Jaman hawa nao wamezidi sasa!! kila kukicha afadhali ya jana!! waungwana nina demu wangu kiukweli ananipenda sana! hivi juzi kati ameanza kuumwa na tumbo sana! nkawa nawaambia machizi wangu kuhusu hili tatizo la kuumwa na tumbo kila saa! wakaniambia maybe mamsapu atakuwa ashawahi kutoa mimba!! kukutana na mamsapu wangu nkawa namkomalia aniambie ni kwa sababu zipi tumbo lake la uzazi limuume daily?? hakutaka kuniambia ukweli kuhusu kma kweli aliwahi kutoa mimba au la! je wadau, huu ushauri wa rafiki zangu kuwa demu wangu atakuwa kafanya kutoa mimba ni kweli?? naombeni ushauri wakubwa! nifanyeje??