Maumivu ya tumbo na kuhisikutapika, nini tiba yake?

Tachu hano

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
1,506
Reaction score
2,518
habari Wana Jamii doctor naomba msaada juu ya hili swala kuna dada moja anahisi maumivu ya tumbo juu ya maeneo ya kitovuni ni kwa mda mrefu
pia anahisi kutapika Mara kadhaa cjui tatizo ni nini Naomba msaada
 
Kama hajameza mtu ( ujauzito) basi anaweza kuwa na vidonda vya tumbo.
 
Kafanye...1 .Urinalysis
2.UPT
3.Stool

kingine mfano Painful urination,Frequency urination? Ila kachape vipimo kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…