Kama una dalili ya vidonda vya tumbo usile nanasi ukiwa na njaa. Hata usipokua na vidonda tumbo kama halina kitu then ukila nanasi lazima tumbo litauma . Nanasi linakwangua sana tumbo linasaidia sana usagaji wa chakula na kupelekea kupata choo kingi na laini sana kama mtu anayehara.kula kiasi baada ya kula chakula.