Heshima zenu wakuu,nisaidieni tatizo langu imekuwa kama ni kawaida kila nikisha ovulate siku tano mbele yani wiki moja kabla ya periods napata maumivu upande wa kushoto sijui ni fallopian tubu au ovary kila Mara ni kushoto nimezunguka hospital sina tatizo,nimetumia miti Shamba sijaona mabadiliko,sina mtoto japo nahitaji sijabahatika,nisaidieni ni kawaida au?asanteni mtakao nisaidia