Maumivu ya Uke na sehemu ya haja kubwa kwa Mjamzito, nini tatizo?

Maumivu ya Uke na sehemu ya haja kubwa kwa Mjamzito, nini tatizo?

Kikalove

Senior Member
Joined
Feb 25, 2015
Posts
163
Reaction score
35
Habari za weekend,

Jamani nina rafiki yangu ana mimba ya miezi 8 na nusu ila tangu miezi saba anasema uke na mkund* vinamuuma huu kama anavutwa kwa ndani, ni maumivu yanayomnyima raha. Ni mimba yake ya pili amekwenda kwa daktari amefanyiwa uchunguzi ameambiwa hakuna tatizo.

Naombeni mawazo yenu, hii ni kawaida au ni ugonjwa maana mimba ya kwanza hakua na hilo tatizo! Wenye uzoefu na uzazi, wazazi wa kike.

Je, tatizo hilo limeshawahi kukupata?
 
labda dr aliogopa kumfanyia uchunguz... .
 
pole sana, avumilie tu hiyo mara nyingi inatokea yawezekana wakati mtoto anageuka kuna mshipa ameuminya ndio maana anapata maumivu hayo. na yanaweza kudumu hadi kujifungua ama yakapotea kabla. kama yupo karibu na mkunga wa jadi anaweza kumsaidia,matatizo mengine madaktari kwa macho ya kawaida hawayaoni.
 
Back
Top Bottom