Habari za weekend,
Jamani nina rafiki yangu ana mimba ya miezi 8 na nusu ila tangu miezi saba anasema uke na mkund* vinamuuma huu kama anavutwa kwa ndani, ni maumivu yanayomnyima raha. Ni mimba yake ya pili amekwenda kwa daktari amefanyiwa uchunguzi ameambiwa hakuna tatizo.
Naombeni mawazo yenu, hii ni kawaida au ni ugonjwa maana mimba ya kwanza hakua na hilo tatizo! Wenye uzoefu na uzazi, wazazi wa kike.
Je, tatizo hilo limeshawahi kukupata?