Maumivu ya viungo

mwinyi mpemba

Member
Joined
Oct 9, 2017
Posts
11
Reaction score
2
Assalamu alaikum.
Leo napenda kutoa faida ya mtu anae matatizo ya MAUMIVU YA VIUNGO. Kabla sijatoa tiba Mara nyingi tatizo hili linasababishwa na baridi na wale wanapendelea sana kula Nyama nyekundu kama ya ng'ombe, mbuzi na kondoo. Kabla hujatumia dawa yeyote hii jitahidi kuepuka mambo hayo.

TIBA
pika hinna, kuzbara na siki changanya pamoja na uipike iwe nzito na uweke sehemu iliyo na maumivu. Inshaallah tatizo litaondoka.
 
Sawa.

Ila ishu ya kuweka link ya blog siku za nyuma ilipelekea mtu kupewa Ban ambayo hadi sasa bado hajafunguliwa.

Labda nitajikumbusha sheria za humu tena!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…