"maumivu ya viungo"

health

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
325
Reaction score
39
Hello Wanajamii! Bila shaka mnaendelea vema katika michakato ya kimaisha na tunashukuru kwa kuwa sote tupo pamoja. Mimi huwa napenda sana wanajamii wanaoishi kwa ushirikiano katika maisha ya kila siku. Likitokea jua au mvua sote tunakuwa tupo pamoja. Mimi nikiwapo miongoni mwa wanajamii napenda watu waweze kuishi vema kiafya pia. Na mtu kuweza kuishi vema kiafya ni pamoja na kuweza kutatua tatizo la kiafya linaloweza kujitokeza kwa kutumia njia sahihi. Hapa nataka kuzungumzia tatizo la kiafya kwa upande wa maumivu ya viungo. Watu wengi sana wanakuwa wakilalamika kuhusu namna ya kuweza kupata tiba kuhusu maumivu ya viungo hasa kwa wenzetu ambao umri umesogea tatizo huwa kubwa. Mtu anaweza kupata tiba nzuri sana iliyoandaliwa kiasilia na iliyofanyiwa utafiti kwa miaka mingi na kuonekana kutokuwa na madhara na muhimu kwa afya na itumike kokote duniani. Kwa hapa Tanzania products muhimu za afya ni lazima zipitie pia Mamlaka ya chakula na dawa TFDA. Fuatilia maelezo ya products muhimu kwa ajili hiyo

GOLDEN SIX

Golden Six imetokana na mimea sita(six golden herbs) inamaanisha mimea sita yenye thatmani.

Golden six inahusika na sehemu zifuatazo;

  1. Mishipa ya hisia
  2. Figo
  3. Kuinua kinga ya mwili na kinga ikiwa nyingi kwenye mwili inasaidia uroto kwenye mifupa(born marro), ndiyo inatengeneza cell za mwili.
  4. Inapunguza kasi ya kuzeeka kwa kuondoa madhara ya uzee.
Utendaji kazi wa Golden six;

  • Golden six ina kinga kubwa kwenye mwili, ukiitumia vizuri inakwenda kusawazisha kinga kwenye mwili.
  • Inarutubisha uroto kwenye mifupa nah ii hutengeneza chembechembe nyeupe za damu kwa haraka.
  • Golden six inasafisha figo kwa kuipa nguvu ya kusafisha damu, kuondoa sumu mwilini kama vile uric acid.
Uric acid ikiwa kwenye viungo husababisha kuumwa kwa viungo.

  • Kuhisi uchovu
  • Kutokwa na jasho sana
  • Kuumwa sehemu ya chini ya mgongo na pia kukosa usingizi.

Inapunguza kasi ya kuzeeka kwa kuondoa madhara ya uzee mfano;

  • Kupoteza kumbukumbu
  • Kutoona vizuri
  • Misuli kukosa nguvu
  • Chembechembe za mwili kufa kwa haraka
  • Inajenga mishipa ya hisia na kuondoa matatizo ya kupooza
  • Kwa waliopooza na kuathirika kwenye mdomo (mdomo kupinda) katika mazungumzo inawasaidia na kurekebisha mazungumzo yao.

FAIDA ZA GOLDEN SIX

  • Stroke(kupooza)
  • Kukosa usingizi
  • Kupoteza kumbukumbu
  • Kuumwa na viungo
  • Kusafisha damu
  • Husaidia presha ya kupanda inayosababisha mishipa kubana hii hutokana na aina Fulani ya Adrino gland ambayo hutoa kemikali, husababisha kubana kwa mishipa ya damu.
  • Matatizo ya wanawake na ukomo wa wanawake

CA + FE + ZI PLUS

  • CA – Madini ya Chokaa
  • FE – Madini ya Chuma
  • ZI – Madini ya Zinki
FAIDA ZA MADINI YA CHOKAA

  • 5% ni uzito wa mwili wa binadamu na ni 2% ya uzito wa binadamu ni madini ya chokaa.
  • Madini ya chokaa yanaimarisha mfumo wa kinga mwilini
  • Madini haya yanasaidia utendaji wa kazi mwilini
  • Madini ckokaa yanaimarisha mishipa ya hisia na ubongo
  • Madini chokaa yanasaidia kugandisha damu mtu anapopata majeraha

FAIDA ZA MADINI CHUMA

  • Hutumika kutengeneza damu hasa Red blood cells ambazo husafirisha oxygen
  • Huimarisha mfumo wa mishipa ya hisia mwilini
  • Huongeza uwezo wa kufikiria na nguvu ya ubongo kwa binadamu
  • Huongeza nguvu mwilini

FAIDA ZA MADINI YA ZINKI

  • Inaimarisha mfumo wa uzazi kwa wanaume
  • Inaimarisha milango ya fahamu
  • Kutibu vidonda vya ndani na nje wa binadamu
  • Inatunza ngozi na kulinda ngozi na nywele
  • Inaondoa matatizo ya macho.


Ukiwa unahitaji maelezo zaidi au swali lolote unaweza kufanya mawasiliano kwa namba 0776491294 au pia kuniandikia ujumbe kupitia ishealthy@hotmail.com
Gharama za GOLDEN SIX ni 38000/- na CA +FE+ZI Plus ni 51000/-
 

Attachments

  • GOLDEN SIX.jpg
    14 KB · Views: 187
  • CA+FE+ZI Plus.jpg
    16.2 KB · Views: 205
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…